Rais Samia Suluhu Hassan amewataka askari wa uhamiaji ambao wana vitambi warudi chuoni kuviondoa na kuwa wakakamavu.
— Swahili Times (@swahilitimes) August 15, 2022
Ameyasema hayo wakati akifunga mafunzo ya awali ya Askari wa Uhamiaji Boma Kichaka Miba mkoani Tanga. pic.twitter.com/8RQ3DrnnNq